Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"

Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao
 
Kiritimba umeingia porini kinyama, kama umegundua thread nyingi zinazohusu mahusiano na jamii hazihusishi uchambuzi yakinifu na hazibore mara nyingi na hivyo kufanya urahisi wa ku comment.
Thread nyingi ndefu zenye uchambuzi hudorora na kusi appear automatically. Hii inaweza kuwa ni kutokana na urefu wa mada yenyewe na kumfanya msomaji kushindwa kuendelea aidha kwa sababu anatumia simu au uhaba wa muda.
Hivyo basi, kushinda watu majukwaani haimananishi hawafanyi kazi, kila kitu ni kujiwekea taratibu tu mkuu.
 

we si ulinyea kambi MMU? Anakula matapishi!!!!!!! Aghhhhhhh
 
Lol, yupo busy na kazi akirudi atakujibu...

Au vile FF alimbembeleza sana jana ndio mana kaamua kubaki..
 
Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao

usifanye mchezo na stress za mabosi wa kihindi. Wee mwenyewe utajikuta unaingia JF kutafuta faraja
 
Bado upo???!!!!

KIGEUGEU,NATAKA SITAKI,

Niko busy na kazi nitarudi badae.
 
Kiritimba karibu tena
Kiritimba kama lilivyo jina lake anaonekana anaupenda Ukiritimba sana na Kiritimba si mtu wa kuaminiwa hata chembe hivyo BW nakupa pole kwa kumkaribisha mtu asiyeaminika kama mla unga leo atakwambia nimeacha kesho yumo!!!!!!
 
Wengi hawana cha kufanya humu. Hushinda nyumba ya keyboard zao kupost tu kutwa nzima.
Wanaoiba muda wa mwajiri ni wachache kuliko wasio na cha kufanya wanaopost kila dakika kutwa nzima non stop.
 
Wengi hawana cha kufanya humu. Hushinda nyumba ya keyboard zao kupost tu kutwa nzima.
Wanaoiba muda wa mwajiri ni wachache kuliko wasio na cha kufanya wanaopost kila dakika kutwa nzima non stop.
Na wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na cha kufanya ndio maana sasa hivi uko hapa.
 
Mimi nipo safarini natoka ukelewe naenda dar nikifika dar naenda mtwara so mimi simo hata hivyo natumia simu. Hata hivyo mimi nakubaliana na watu kushinda jf coz ni mazoezi.siku tukilianzisha/tukikinukisha kuhusu maandamano asubuhi hadi jioni tupo barabarani kila siku na hapo ndo utashangaa tuna kula nini na saa ngapi. mia
 
hujambo mrembo
nakupitia twende kwenye mnuso ngalelo jioni usisahau kuja na kale kachupa

Mi sjambo mpenzi..
hahahahah bado unakumbuka kale kachupa
usijali kabisa ntaleta na nyongeza.. saa ngapi uko free
tukutane pale pa siku ile au?? nasubiri jibu lako mpendwa.
 
You got a wandafu vibe Kiritimba, bora tukufanye ndafu
 
Kwa hiyo hizo phone zinajiendesha Automatic eh!

mwendo wa tega nikutege tu. Kila comment lazima itakuwa counteracted. Ktk hili hakuna anayeweza kusema yuko sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…