Watu wa jf (hasa mmu) wengi "wezi"


Watu wanatumia mitandao kulisha familia zao na sio makuli kama unavyo fikiria kalaghabaho
 
Watu wanatumia mitandao kulisha familia zao na sio makuli kama unavyo fikiria kalaghabaho

Acha hizo mkuu.
najua wapo baadhi ambao kazi zao ni mitandao related.
lakini kuna watu kibao humu mi nawajua wameajiliwa lakini muda wote wamo mmu.
sizungumzi kwa kuhisi mkuu, nina uhakika.
 
yaelekea uwelewa wako uko chini sana, kama m2 hayupo busy kiivo au unadhani we ulivyo kwa wahindi ndo kila m2?? mwngne kajiajiri!

nani aliyekuambia kuwa ukijiajiri ndo utumie 100% ya muda wako kwenye social forums 24/7. Huo pia ni wizi kwa sababu utakua unapata pesa ambayo hujafanyia kazi.
 
Kwani huyu sio aliaga jukwaa hili jana kwamba hatorudi tena? na kama unauwezo wa kuwaona wenzako kwamba wanashinda kwenye mtandao wewe huwa unakuwaga wapi? kwenye makalio au mtandaoni? hizi ni thread za kipuuzi kutoka kwa mpuuzi.

we masaburi kweli.
waziri mkuu wa uingereza anakuita akakupe pesa ya bure. Si hutaki kufanya kazi..!
 
Hata mimi nashangaa leo karudi kufanya nini tena hapa. Hajui pia wengine hii ndio ajira yao?

najua kuna watu hii ni ajira, lakini si wote. wengi wao ni wezi wa muda, aidha wanaibia watu wengine au wanajiibia wenyewe.
 
Asante kwa kuliona hilo,lakini wengine wamejiajiri ,Laptop zipo full mtandao ..Na JF ni kisima cha burudani
:focus:


hata kama wamejiajili,haiwezekani watumie muda wote 24/7 mtandaoni. watakuwa wanapata pesa haramu yaani hawajaifanyia kazi.
 
Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao


wana macho lakini watajifanya hawaoni...
wana maskio lakini watajifanya hawasikii...
kwa sababu tu wameshikwa kunako ukweli.
 

na hiyo concentration wanaitoa wapi kama kweli wapo bize!
 
najua kuna watu hii ni ajira, lakini si wote. wengi wao ni wezi wa muda, aidha wanaibia watu wengine au wanajiibia wenyewe.
hebu tujuze cuz leo post yako ya kwanza umeipost leo saa 10:25 na mpka sasa hivi ni saa 8 kasoro upo active kwenye hii thread. umetumia zaidi ya masaa matatu hapa JF! Huo muda umeupata wapi?
 
hebu tujuze cuz leo post yako ya kwanza umeipost leo saa 10:25 na mpka sasa hivi ni saa 8 kasoro upo active kwenye hii thread. umetumia zaidi ya masaa matatu hapa JF! Huo muda umeupata wapi?

angalia vizuri mkuu, ndo kwanza nimeingia sema niko fast tu.
hapa kazini huwa kuna break katika muda huo nilioposti bandiko la kwanza, na sa hz nipo breki ya lunch. kwa hiyo huwa natembelea humu wakat wa breki tu tofauti na ninyi ambao muda wote mpo humu (huwa nasoma comment zenu jion nikimaliza kazi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…