jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
Kuna wafanyakazi wenzao wapo humu wataniulizia hilo swaliHawapo huku.. coach anaongea sauti inatembea kwenye spika utasema ye ndo ameshika kipaza ..
Kwa nini atoe lugha ya matusi na anaona camera zimemwelekea?Hivi ikitokea kocha au wachezaji wakatoa lugha ya matusi na watanzania wakalisikia ni nani ndie atakaewajibika?
Kwa nini msiweke mic off mnapowakaribia hapo uwanjani
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Inaweza kutokea kwa mazoea...... km mazoezini huwa mnatoleana lugha chafu basi ipo siku mmoja atamwambia mwenzake.... mfano "Acha us×#ge wewe toa pasi mapema" na camera ipo jirani lazima itaskika tuKwa nini atoe lugha ya matusi na anaona camera zimemwelekea?
Hii itakuwa ni maksudi na ni kosa lazima aliyetoa matusi aadhibiwe
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndo kupeana kazi kwa kubebanaNoma sana aisee hawa waandishi wa habari
Na hiyo clip imesambaa sana ktk mitandao ya kijamii japo labda alikuwa na maana nyingine lakini watu wameitafsiri tofautiNi sawa na meki mexime anamuuliza Anwar jabir unataka hela au hutaki hela kwenye mechi ya juzi kati hapa wakati mchezo unaendelea