Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mdaa huu tupo na jamaa kachanganyikiwa baada ya kusikia rafiki yake kumzunguka na kumpa mimba mpenzi wake.
Tulimkanya sana jamaa ila kwa vile tukisema ukweli tunaonekana wachawi na watu wa wivu.
Kisa kipo hivi huyu jamaa ana rafiki yake walijuana kikazi wote wakiwa bado wanaanza safari kufikia malengo. Ila huyu rafiki wake ni mtu wa bata sana na totozi na tabia ya rafiki yake ikuwa nzuri sababu anapenda sana umalaya ila ndio hayo kumtambulisha na urafiki wao jamaa kaachwa na mpenzi wake na sasa yupo njia panda.
Wanasema ukikaa na waridi utanukia waridi ila ukikaa chooni utanukia ulichokikuta.