A Anonymous Guest Mar 9, 2025 #1 Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana Kila siku umeme lazima ukatike kila siku mafundi wako site unashindwa hata kufanya shughuli za kimaendeleo Niliweka Mayai kama 100 hivi kwenye kitotoleshi lakin Sijaambua hata Kimoja sababu umeme hakuna. Pia soma ~ Mwananchi Katavi ahoji umeme kukatika wakati wameunganishwa Gridi ya Taifa, TANESCO yafafanua
Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana Kila siku umeme lazima ukatike kila siku mafundi wako site unashindwa hata kufanya shughuli za kimaendeleo Niliweka Mayai kama 100 hivi kwenye kitotoleshi lakin Sijaambua hata Kimoja sababu umeme hakuna. Pia soma ~ Mwananchi Katavi ahoji umeme kukatika wakati wameunganishwa Gridi ya Taifa, TANESCO yafafanua
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Mar 15, 2025 #2 Hilo sasa limekuwa tatizo la kitaifa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 16, 2025 #3 Poleni sana... Cc: Mahondaw
MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 728 Reaction score 988 Mar 16, 2025 #4 Katavi ni mbali umeme unapotea njiani πππ