Watu wa Kigoma naomba mnipokee mgeni wenu.

duuuh huko kwenye vumbi jekundu? ninepita hayo maeneo wakat kazi za kambi ya wakambizi zimeshamiri sitaki hata kupasikia
[emoji3][emoji3]ndo hvyo..hili vumbi tunapambana nalo hvyo hvyo
 
Mbona nasikia kabila hili la waha ni wachoyo Sana
Je tutakula?
Mkuu la kusikia sio la kuona, ni wakarim sana nilikaa miaka miwili walinipa ushirikiano wa hali ya juu, lakini nilipigwa mizinga balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…