mayraclara
Member
- Oct 6, 2018
- 20
- 6
Karibu sanaaHabari za usiku wakuu..
Napenda kuwajulisha ndugu zanguni wa mkoa wa Kigoma kwamba nitakua mgeni wenu mda simrefu kwa ajili ya kuja kufata mzigo wangu.
Kikubwa nawaomba muje munipe ushirikiano wenu, safari yangu itaanzia Dar, matembezi yangu nitafikia mpaka vijijini kama:
Kagunga, Mwamgongo na maeneo ya mjini ambapo ndo itakua ndo penye kitovu cha shughuli yangu. Naamini sitakosa kuja kupata mafuta ya mawese ya kumwaga na sabuni kede kede ambazo zitakuja kuwa kama zawadi kwangu.
Anhaa sawa mkuu.Haya kwa ujiji nitakuja maana mimi nitakua nalala Nazareti.
Duh! Hii kitu sio kweli Kiongozi.Mbona nasikia kabila hili la waha ni wachoyo Sana
Je tutakula?
Baba ukifika mjini naomba unishtue aisee uje tunywe mtobee niko masanga stand hapa..==================================
UPDATES:
Habari za majukumu wakubwa na wadogo...
Nisiwachoshe ile safari yangu nategemea kuondoka Jumatatu ya wiki inayofuata.
Nawakumbusha watu wangu wa Kigoma msisahau kiniwekea yale mazawadi ya kumwaga. Bila kusahau nitafikia eneo la Kwamchaga.
Basi itakua wewe ni mvamizi.Sometimes naoana mm sio mtu wa kigoma halisi aisee .. How muha mie sijui kuongea kilugha chetu, kasulu, kibondo wala kagunga sijawahi kukanyaga wala kupapita. manyovu tu ndio nimeenda mwez 6 kwenye harusi ya jamaa yangu
Yaani wewe tangu mwezi wa Kumi mpaka leo hujaanza safari? Tena unasema mpaka Jumapili sijui Jumatatu huko ijayo ndipo utaanza safari. Uko Serious Kweli mkuu?Nitakua naleta updates kila hatua nitakayofikia ndugu zangu wa Kigoma.
Hahahahah, usijali mkuu ndo maisha hata mimi sikupanga ifike mwezi huu lakini ndo ilibidi...haya mara hii niekee mawese kwa wingi maana nayapenda. Jumatatu ya tarehe 10 uhakika Mungu akipenda.Yaani wewe tangu mwezi wa Kumi mpaka leo hujaanza safari? Tena unasema mpaka Jumapili sijui Jumatatu huko ijayo ndipo utaanza safari. Uko Serious Kweli mkuu?
Mimi nilikuwekea maparachichi mpaka yameharibika.
Umenitia hasara!
Niandalie mananasi ya manyovu huko mkuu.Sometimes naoana mm sio mtu wa kigoma halisi aisee .. How muha mie sijui kuongea kilugha chetu, kasulu, kibondo wala kagunga sijawahi kukanyaga wala kupapita. manyovu tu ndio nimeenda mwez 6 kwenye harusi ya jamaa yangu