Tarehe 18 ya mwezi gani!?So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ?
Tutakufaaaa ndorobooo nyie, mmeona foleni la tar 18 jioni ? Wake zenu na mademu zenu wamehaha usafiri town niaje.....wenyewe magari yenu yamekaa foleni mpaka yameisha mafuta na sheri mlichoma moto
Wacha kabisa nachanganyikwa nipo ofwesiTarehe 18 ya mwezi gani!?
Wajeda kavu sanaNaona watu wakipita kwenye mwendo kasi una luka uchura kwanza kama una pikipiki una isukuma uku abiria akiwa amekaa poleni sana
Ili msiandamane tenaSo wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ?
Tutakufaaaa ndorobooo nyie, mmeona foleni la tar 18 jioni ? Wake zenu na mademu zenu wamehaha usafiri town niaje.....wenyewe magari yenu yamekaa foleni mpaka yameisha mafuta na sheri mlichoma moto
aanze kutafuta nchi ya kwenda 9D hatucheki na kimaIli msiandamane tena
Uandishi wa 'code' huo!Tarehe 18 ya mwezi gani!?
Zamani nilidhani Kimara wanaishi wajannja, ila baada ya kuchoma miundombinu ya Mwendokasi nimegundua kuwa Kimara ni kama "Pwani ya mabwege"So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ?
Tutakufaaaa ndorobooo nyie, mmeona foleni la tar 18 jioni ? Wake zenu na mademu zenu wamehaha usafiri town niaje.....wenyewe magari yenu yamekaa foleni mpaka yameisha mafuta na sheri mlichoma moto
Ni wewe kweli? Mbona niliona kama umepigwa 💣 mo29Hatariiii
Nilinusurika! Nashukuru bado niko napumua.Ni wewe kweli? Mbona niliona kama umepigwa 💣 mo29