Watu wa magari binafsi jijini Dar amkeni mapema. Mnakera sana mida ya asubuhi

Watu wa magari binafsi jijini Dar amkeni mapema. Mnakera sana mida ya asubuhi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie mnaotokea mjini hamna haki ya kutumia barabara.

Si muwe mnaamka mapema!? Mnakera kinoma!
 
Back
Top Bottom