...Watu wa mahaba....

acha tuu.....na magoma yapo mengi usaliti ndio usiseme
 
Kumbe, ndio maana yamekuwa rahisi hivi!
Ama kweli bure ghali
 
Unaacha kunywa bia unawaza tuu mapenzi, muone kwanza, sura mbaya ndio maana unatendwa tendwa.....
 
Love should come naturally..if we quit pretending to feel what we dont, be what we aren't, then definatly mapenzi hayatakuwa magumu..
 
..... kwa wa africa..... bado sana.....
go on with politics....
 
Love should come naturally..if we quit pretending to feel what we dont, be what we aren't, then definatly mapenzi hayatakuwa magumu..

...nkupe marks ngapi...?? out of hundred......
 
....mapenzi ya kileo magumu saanaaa...

balaa zipi tena umekutana nazo? Fafanua...........love is a gift from God................let us enjoy it...........usichanganye mapenzi na ngono............lol
 
balaa zipi tena umekutana nazo? Fafanua...........love is a gift from God................let us enjoy it...........usichanganye mapenzi na ngono............lol

....nashuhudia mambo ya ajabu sana huku mtaani....

.....kusalitiana saivi inakua kama kawaida.... Watu hawaoni hatari....
 
....nashuhudia mambo ya ajabu sana huku mtaani....

.....kusalitiana saivi inakua kama kawaida.... Watu hawaoni hatari....

ndio maana ruta ka kuambia usichanganye mapenzi na ngono..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…