Watu wa Mbeya acheni ushamba wa kushabikia ligi za mabasi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mambo ya ushabiki na ulimbukeni wa Ligi za Mabasi upo sana Mkoa wa Mbeya Sasa sijajua tatizo Huwa ni nini hasa?

Mbona mambo ya ushabiki wa Ligi za Mabasi haupo Mikoa mingine isipokuwa Mbeya tuu? Acheni Ushamba.
Screenshot_20240307-124854.jpg
 
Mambo ya ushabiki na ulimbukeni wa Ligi za Mabasi upo sana Mkoa wa Mbeya Sasa sijajua tatizo Huwa ni nini hasa?

Mbona mambo ya ushabiki wa Ligi za Mabasi haupo Mikoa mingine isipokuwa Mbeya tuu? Acheni Ushamba.
View attachment 2927324
HiYo tabia sio mbeya tu miji yote ya Barabarani hasa mafinga ,makambako na mbeya watu hadi wanabeti sema kidogo saiz wamepunguza baada ya kuruhisu saa 24
 
Mambo ya ushabiki na ulimbukeni wa Ligi za Mabasi upo sana Mkoa wa Mbeya Sasa sijajua tatizo Huwa ni nini hasa?

Mbona mambo ya ushabiki wa Ligi za Mabasi haupo Mikoa mingine isipokuwa Mbeya tuu? Acheni Ushamba.
View attachment 2927324
Mbeya....Mbeya....ila wenyewe wanajiona wajanja kweli watoto wa Town yaani.

Nendeni Mbarali mkalime mpunga wazee
 
.Unasemaje washamba wakati hiyo njia(T1)ni kongwe na yenye mabasi bora tokea miaka ya 70?wazungu hurundikana barabarani kushàbikia vyuma walivyotengeneza wenyewe ni ushamba?wewe ni dikteta uliyekosa fursa ya kuutumia huo udikteta.
 
Back
Top Bottom