Watu wa Mbeya msituharibie lugha yetu adhimu

Watu wa Mbeya msituharibie lugha yetu adhimu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi.

Tuendage- badala ya Twende
Turudigi- Turudi
Tupikage- Tupike
Tuvaage- Tuvae
Agizaga- Agiza
Tuangaliage- Tuangalie
Tubusuniage- Tubusiane
Usalimiage- Usalimie
Kusembua-kusawazisha barabara
 
Mkuu, hiyo ni lafudhi yao ikiwa kama kabila wachagga, wahaya, wakurya, wamakonde huwa wana lafudhi yao katika matamshi, mfano mmakonde akisema nakunywa nnaji badala ya nakunywa maji.
 
Back
Top Bottom