Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakulima hodari ni wasukuma, wajita na wakurya ni wazuri sana kama una mradi wa ufugaji wa kuku, ila ni wakorofi sana hawakawii kukupiga panga. Wanyamwezi ni wakulima wazuri mwanzoni, ila akipata tu mwanamke anatelekeza shamba na kuhamia kwa mwanamke.
Wasafwa, waandali, wamalila na watu wa Rukwa na lringa pia ni hodari.
Wagogo ni wezi sana na wwavivu. Wazaramo maneno mengi, mizinga mingi, ngoma kwa sana na kazi hawafanyi, utakuta shamba limegeuka msitu.
Tafuta MSAFWA original toka mbeyaNimenunua shamba, nataka vijana wawili wachapakazi.
Je ni makabila gani nisiwachukue ili plans zangu zisifeli?
Na je watu wa mikoa ipi watanifaa zaidi?