Watu wa Mikoani Forum

Inferiority complex....
 
mahondaw wangu.. Mtoa mada mwenyewe ni mtu wa Dar..
Alafu unajua inakuwa vipi super dear... Hata Dar ni mkoani pia... Popote utakapokuwa... Kwa mwingine, kwako wewe ni mkoani... Hakuna mtu asiye mkoani...
Dar si mkoa. Dar ni Tanzania. Kwa kifupi Dar ni nchi.

Daslam Tanzania
 
Tanzania ni White House...

Cc: mahondaw
Ewaa...

Ndo maana serikali inasema inahamia mkoa wa Dodoma lakini wakubwa wote bado wapo mjini hapa.

Hata ripoti ya makinikia imetolewa hapa nchini... wakuu wote wa mikoa wakapata nafasi ya kufika Tanzania.
 
Kuna watu wa ajab sana yaaani wanaona wananifaham... Kuna watu wanalazimisha kuwa mi nipo dar utadhan wao ndo wake zangu wanaishi nami.... Mliambiwa mtu akiwa huko mikoani haji dar? Of course mimi ni mfanya biashara huwa nakuja kila mara dar.
 

2
 
Ya nn kuji aibisha kote huku
 
Nukuuu#
Jambazi akamatwa posta, wanafikiri wakisema posta mtu anajua ni dar
 
18 Jana na leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…