Watu wa mikoani hawajui kutofautisha bei ya jumla na rejareja

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Badilikeni watu wa mikoani yani mtu kitu kimoja unataka bei ya jumla.

Maana ya jumla ni mzigo mkubwa ambao unanunua kwenye duka la jumla sio la rejareja.

Hii tabia inazidi kukua sana
 
Badilikeni watu wa mikoani yani mtu kitu kimoja unataka bei ya jumla.

Maana ya jumla ni mzigo mkubwa ambao unanunua kwenye duka la jumla sio la rejareja.

Hii tabia inazidi kukua sana
Acha ushambenga, watu wa mikoani ndiyo nini. Sema we ndio hujui.
 
Madai yako hapo upo dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati dar yenyewe ni mkoani acha ushamba biashara ni utashi wako wapo watu wanauza kwa bei ya jumla inategemea ww mzigo unaupata wapu na kwa gharama ipi usilazimishe tufanane kwenye kuuza au kununua.

Ushamba mwingine ni kutaka kuamini hapo ulipo ni jiji wakati unaweza kua unakaa temeke ambapo huna tofauti na mtu anaekaa makambako kitisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha ushambenga, watu wa mikoani ndiyo nini. Sema we ndio hujui.
Naona imekugusa mkuu.. But Ngoja nikwambie jambo mkuu... Jiji la Dsm limejaa wajanja wengi wanapiga mishe mchana na usiku kutafta pesa na wengi wanaofanya hayo ni watu wa mikoani Amini kwamba... Na hamna watu washamba kama wazawa wa dar na Pwani.. Hamna kitu yani... kkoo pote pale wanapiga mishe ni watu wa nje ya Jiji.. Uyo mwenyw alietoa posti sio mzawa wa dar ni wamkoani lkn hajitambui anachosema.. But wapo wapo wakioni ambao ni washamba lakin sio wote
 
Hapo unawazungumzia wale wa kaskazinii unaongeaa naye bei mpk unataman uumpe buree hyo bidhaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Badilikeni watu wa mikoani yani mtu kitu kimoja unataka bei ya jumla.

Maana ya jumla ni mzigo mkubwa ambao unanunua kwenye duka la jumla sio la rejareja.

Hii tabia inazidi kukua sana
Wewe wateja wako ni type ipi?
Je, umewapa taarifa nzuri ya bidhaa yako mfano variety au description ya bei ya bidhaa wakati wa kununua jumla au reja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…