i think i like this comment.iwatajiju
Warudi tu Zanzibar wawaachie Wakenya Mombasa yao.
Tanzania bali Tanganyika:clap2:ndipo wazungu wakaja kuleta ushenzi wao na kuliuwa Taifa la Waswahili!!!!
<br />kiufupi ni kwamba jamii za watu wa zanzibar na mombasa wanafana kitabia na kila kitu,wa mombasa hawataweza kujitenga,ni extremists wachache tu wanaowapa taabu,ambao wengine wanalishwa ujinga na wasomali waliojazana hapo kenya
Kisheria hawa jamaa wanahoja ya nguvu Zanzibar ilikuwa ni ardhi ya halali ukanda wa pwani. Kudai kuwa hawa masheikh ubwabwa ni kubeza ila time will tell mtakuja kutuambia. Sultan wa zanzibar alinunua ardhi halali kutoka kwa wazawa. Wajerumani na waingereza walimzidi kete Sultani na kudai aliwauzia wakati hawana sale agreement yeyote isipokuwa ni hiring agreement between Germany na Sultan. Ni vema mnaowabeza wajibuni basi kama mnao mkataba wa mauzo baina ya sultani na mabeberu wa kiingereza na kijerumani?
wazanzibari hawataki kuungana na yeyote yule
sio mombasa sio tanganyika