Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Habari wanajf,
Kama ilivyo ada huwa nawaletea habari ambazo pengine mnazo ila hamtaki kuzisema na pengine hamna kabisa.
Mimi binafsi nahitaji kuona Wagombea wa chama changu Chadema wakishinda kwa kishindo, ila kwa yanayoendelea huko majimboni inakatisha sana tamaa.
Najua kuna changamoyo nyingi sana ikiwemo za kipesa kuwezesha wagombea wetu kufanya kampeni.
Lakini kwa hawa waliotoka bungeni kwenye bunge lililopita kuna tatizo kwao huko walikogombea kwa kuwa nina amini kabisa pesa walibaki nayo ya kutosha kufanya kampeni za jimbo.
Kumekuwa na sifa nyingi na mapambio kwa mgombea wetu wa Muheza mh. Yosepher Komba, ila cha kushangaza kwenye kampeni zake watu hamtokei (hii ni dharau na unafki wa hali ya juu).
Ukisoma post humu na comments kuhusu huyu mgombea alafu ukienda kwenye uhalisia, unaweza kuchoka kabisa.
Makamanda wenzangu tujirekebishe na pia tufanye namna juu chini kuweza kuwashawishi watu wa muheza kuhudhuria kampeni za mgombea wetu, la sivyo anaweza pata kura 2.
Chini hapa ni picha za mkutano wa kampeni wa mgombea wetu mh Yosepher Komba huko muheza. Watu wanaohudhuria kampeni yake hawafiki 20?
Nimeweka na video chini ili kuondoa maswali ya kijinga ya kuukataa ukweli uliopo.