Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

Unatakiwa ujue namna ya kulitumia jicho lako vema.

Kuna namna fulani ukimkata mtu jicho, lazima awe makini na maneno ya shombo
 
Unatakiwa ujue namna ya kulitumia jicho lako vema.

Kuna namna fulani ukimkata mtu jicho, lazima awe makini na maneno ya shombo
Kuna namna tu mtu unakua hupendi kero wala kupigizana kelele na watu,. So wanachukulia kama Advantage
 
Ofisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.

Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.

Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
Yaani sijui huwa wana shida gani aisee
 
Baby niambie wamekujibu nini..?
 
Shida ni kwamba wanakujibu jeuri na hadi kukutukania mzazi kwa kitu ambacho kama mtoa huduma inabidi akuelekeze tu mambo yanaenda sawa,. Na hata ya soda mtu unaweza kumwachia

Hawafanyi hivyo lakini
 

Wafanyakazi 90% wa serikali sikivu ya CCM wapo hivyo, ndio hao ambao mama kawapa jina la "majitu" kwa wingi wao...
 
Wamesemaje ๐Ÿ˜
We acha tu aisee,. Wamenitukana kisa tu sikuwa na nakala ya Tangazo wakati vitu vingine vyote nlikua navyo na nlikua sijui utaratibu wake unakuwaje (kuna taarifa zinatakiwa kurekebishwa kwenye utambulisho wangu) ,.
Badala wanielekeze waanaanza kunitukana kwanini sikuwa makini wakati wa kuandikisha kupata namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ