Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

Hizo hongohongo ndo zinafanya baadhi ya wafanyakazi wapenda hela ndogondogo kuwa na majibu ya hovyo ili wewe ambaye haujatoa hizo hela,ukate tamaa na ikiwezekana uwalainishe kwa vihelahela hivyo.Wajinga sana baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
Yaani,.
 
Taasisi zote za serikali zimeoza hakuna penye nafuu, hospitali, mashule, tra, nssf kote hakuna penye nafuu.

Nachelea kusema matatizo yameanzia juu huko. We all know uwezo wake, usitegemee huku chini kuwe na ufanisi.
 
Mboso aliimba " na kwanza ndo tunajidaiiii... Kama afisa wa nida .....Sijui Nini na Nini tambaaa"


Anajua Majamaa walivyo watu wa hovyo

Nikanakwamba wao ndo wanatupa uraia wa kuwa watanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aisee
Itakua walimfanya kitu na yeye๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Reactions: a45
Ndio uoga tunao sema ulishindwa kuwapa live pale pale? yaani wamekujibu hovyo umekaa kimya umekuja humu na fake ID kullalamika? ndio sehemu ya kulalamikia? ulishindwa nini kulalamikia pale na kuwapa Black and white? Tuache huu upoyoyo
Mie sipendagi kuongea ongea mkuu mtu anitukane na mimi kimjibu siwezi
 
Ni kukosa akili tu, mtu mwenye akili huwezi kumjibu hovyo mtu aliyekuja kupata huduma unayoitoa.
Tena mtu hajui utaratibu badala ya kumwelekeza unamtukana seriously??
 
Eti usimchoshe mwee!
 
Sidhani kama hata wana huo mda wa kuskiliza kero za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ