Asa mtu atakupa chochote akipendezwa na huduma yako.. Au laah apewe utaratibu kwamba hapa itahitajika hela kiasi kadhaa mtu anajua mojaPole. wengi wao unakuta wanajitolea hapo hivyo kuna muda wanakuletea namna gani vipi ili tu uingie mfukoni wapate chochote.
Jicho gani mkuu? Mbona statement yako ina utataUnatakiwa ujue namna ya kulitumia jicho lako vema.
Kuna namna fulani ukimkata mtu jicho, lazima awe makini na maneno ya shombo
Tatizo Sio wote tunaweza kuwasha moto publicly mkuu,.Ukienda ofisi ya umma sharti la kwanza ni usiende kinyonge. Kuna siku nimeenda hapo wizara ya ardhi ila moto niliouwasha hadi leo nikienda huwa nahudumiwa kama VIP
Mgonjwa anaweza kuwa yupo serious ila pesa ndio hamna πππHapo ndio tatizo linapoanza,. Na kama mkiwa na mgonjwa yuko serious lazima tu mtaingia mfukoni muwape hizo hela wanazotqka
Sasa Ms Leejay49 mfamyakazi wa serikali jina alilopewa na Wazazi wake ni Sikuzani lakini kwenye mifumo ya Serikali anaitwa Neema. Wewe unategemea utapata huduma nzuri hapo.Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyoππππππππ
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Bongo hii hiiπππUnampanga tu dokta hata kwa ahadi hewaπππ
Sasa humu jf we unaona kuna mwanamke??Kwa hiyo Leejay49 ni bro siku hizi?
Lipo jicho moja la kimedani... mke wangu huwaga ananisimulia, maana yeye akiendaga maali lazima wamkomeJicho gani mkuu? Mbona statement yako ina utata
Ila Wafanyakazi wa Serikali shida sana, nakumbuka kipindi fulani nilienda kufanya service ya Computer za Wizara fulani. Kuna Mama tena ni Afisa mkubwa akawa Ananiambia nimuwekee na games. (Zuma na draft) π€£Hali ilibadilika wakati wa jiwe lakini waliplmshangilia alipofariki sasa wanacheza draft za uchi kwenye computer na karata/games kwenye simu
Kama uko dar nenda Nida Kawe Mungu wangu wale wanajiona kama hawatakufa waswahili vibaya mno kuna kidada kama kipemba hivi Mungu amlaani na uzao wake unyanyaswe hivyo hivyo anavyonyanyasa wenzakeSijui waajiri wao huwa hawaoni mwee