Watu wa Niger na Ecador kwa kiingereza

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Jamani kwa wataalam a lugha. Je, watu wa kutoka nchi hizi mbili kwa kiingereza utawaitaje? Kwa mfano sisi watanzania tunaitwa Tanzanians, je wa-Ecuador (Ecuadorians?) na wa-Niger (Nigerians--ambayo tena itakuwa sawa na wa-Nigeria) tutawaitaje?
 
Niger = Nigerien

Nigeria = Nigerian

Tofauti ni hizo suffixes tu! Mmmoja en na mwingine An
 
Mtu wa taifa la Niger huitwa Nigerien na wale wa Ecuador huitwa Ecuadorean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…