Watu wa protocol najua mpo hapa tuwekane sawa hapa

engijape

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
178
Reaction score
97
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?

Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na nchi, TISS, police, jeshi wanhusishwa kweli? hivi ni vyombo vya ulinzi na bila shaka ushauri wao kwenye maeneo nyeti ni muhimu.

Na je kama Rais amefanya kinyume na matarajio ya nchi, nani anamwambia hapana au ndio. nauliza hivyo kwa sababu kama bunge letu lenye mawaziri na wasomi wa kila aina wamesema Rais yupo sahihi nani tena wa kumkosoa?

Makatibu wakuu wa sector wanahusishwa kuhusu mikataba hii?
 
We kwa muona huyu rais wa sasa ana huo muda wa kupitia hiyo mikataba? Udokta wa kupewa tu!

Yule anapendezea kuchamba na jicho alizungeshe

Tofauti na hapo elewa tuna katiba ya hovyo sana

Japo naamini kwenye hili la DP WORLD anajua vizuri kilichomo ila akaamua kumpa mamlaka waziri wake na ye kajiweka pembeni auone mchezo vp utafanikiwa kama waombavyo iwe!
 
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?

Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na nchi, TISS, police, jeshi wanhusishwa kweli? hivi ni vyombo vya ulinzi na bila shaka ushauri wao kwenye maeneo nyeti ni muhimu.

Na je kama Rais amefanya kinyume na matarajio ya nchi, nani anamwambia hapana au ndio. nauliza hivyo kwa sababu kama bunge letu lenye mawaziri na wasomi wa kila aina wamesema Rais yupo sahihi nani tena wa kumkosoa?

Makatibu wakuu wa sector wanahusishwa kuhusu mikataba hii?
Unataka kuelezewa inavyotakiwa kuwa au inavyofanyika?

Maana hayo ni mambo mawili tofauti.
 
Kuwa sahihi haihitaji idadi ya watu .

Watu wanaweza kuwa 100, wakakosea mmoja akawa sahihi.

Hivyo bunge na mawaziri kusupport mkataba hewa haimaanishi huo mkataba ni mzuri.
 
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?

Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na nchi, TISS, police, jeshi wanhusishwa kweli? hivi ni vyombo vya ulinzi na bila shaka ushauri wao kwenye maeneo nyeti ni muhimu.

Na je kama Rais amefanya kinyume na matarajio ya nchi, nani anamwambia hapana au ndio. nauliza hivyo kwa sababu kama bunge letu lenye mawaziri na wasomi wa kila aina wamesema Rais yupo sahihi nani tena wa kumkosoa?

Makatibu wakuu wa sector wanahusishwa kuhusu mikataba hii?
Mikataba huandaliwa na wataalamu na kisha kupelekwa kwa makatibu wakuu hupitia ambapo Mwenyekiti wao ni Katibu Mkuu Kiongozi then inapelekwa kwenye baraza la Mawaziri, kimsingi mtu yoyote anatakiwa kusoma kabla ya kusaini lakini shida viongozi wengi ni wavivu huwa hawasomi chochote.
 
Huko unaenda mbali,

Jiulize why mwanasheria mkuu haipo sahihi yake, au kwann Prof Kabudi hakushirikishwa?
 
Kuwa sahihi haihitaji idadi ya watu .

Watu wanaweza kuwa 100, wakakosea mmoja akawa sahihi.

Hivyo bunge na mawaziri kusupport mkataba hewa haimaanishi huo mkataba ni mzuri.
Mkuu,

Nakubaliana nawe.

Hii hoja ya "wengi wape" ni hoja mufilisi kabisa.

Kwa sababu wengi wanaweza kukosea, wachache wakawa sawa.

Kimantiki hii ni logical fallacy, inaitwa argument from popularity.

Halafu, hata kama unataka kutumia hoja ya wingi, si kweli kwamba wengi wanaunga mkono mkataba. Hata bungeni hatuna namba za kura zilizopigwa tukajua wabunge wangapi wamekubali.

Mkataba mkubwa kama huu umepitishwa kwa kura za sauti, maana yake watu wachache wanaojua kupiga kelele wakawafunika wengi wasiojua kupiga kelele wanaweza kupitisha mkataba huu bungeni.

Tunafanya mambo kijinga sana.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?

Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na nchi, TISS, police, jeshi wanhusishwa kweli? hivi ni vyombo vya ulinzi na bila shaka ushauri wao kwenye maeneo nyeti ni muhimu.

Na je kama Rais amefanya kinyume na matarajio ya nchi, nani anamwambia hapana au ndio. nauliza hivyo kwa sababu kama bunge letu lenye mawaziri na wasomi wa kila aina wamesema Rais yupo sahihi nani tena wa kumkosoa?

Makatibu wakuu wa sector wanahusishwa kuhusu mikataba hii?
Nianze na Bunge :
Bunge la Tanzania ni Bunge la chama kimoja yaani asilimia 99 ni ccm.na Kwa
Mikataba huandaliwa na wataalamu na kisha kupelekwa kwa makatibu wakuu hupitia ambapo Mwenyekiti wao ni Katibu Mkuu Kiongozi then inapelekwa kwenye baraza la Mawaziri, kimsingi mtu yoyote anatakiwa kusoma kabla ya kusaini lakini shida viongozi wengi ni wavivu huwa hawasomi chochote.
Nianze na Bunge:
Bunge la Tanzania asilimia 99 ni wabunge wa ccm. Rais ni mwenyekiti wa chama, anamamlaka katika serikali kumuondoa yeyote anaepinga Yale anavyotaka yawe, na ndani ya chama anayo mamalaka hayo ama kuzuia jina lisipite wakati chaguzi zitakapofika hivyo SI ajabu wabunge wote kuunga mkono Yale ya Rais hata kama wanaona hayako sawa.
Baraza la mawaziri:
Vivyo hivyo mwenyekiti ni yeye,hivyo waziri yeyote ambaye atapinga Yale anavyotaka Rais yawe huyo uwaziri wake upo mashakani.
Wakuu wa jeshi,polisi, Tiss ,na vyombo vingine nao wanateuliwa na Rais na hawahitajiki kuthibitishwa na Bunge. Hivyo hawana uthubutu wa kumshauri Rais tofauti na vile atakavyo. Unakumbula boss wa Tiss aliondolewa muda mfupi kabla ya issue ya bandari kutoka! Na mwingine pale Ikulu akabadirishwa, huwa iko hivyo. Hawako huru hata kama wanaona boss wao hayupo sawa. Unaona ccm wote wanasema mkatabani mzuri,hata wale wasio na uelewa juuya mambo ya uwekezaji na mikataba. Hiyo yote ni hofu yakuonekana " hatufai" kumbuka ndugai aliposema kweli aliambiwa hatufai akatakaiwa ajiuzuru. Atupishe.
Huyu mnyakyusa wa pale mjengoni siyo kwamba hajui hasara ambayo kama Taifa tunaenda kuipata kutokana na mkataba huu. Anajua vizuri tu lakini hataki yamkute ya ndugai, anachoangalia yeye ni maslahi yake labda mama atapendekeza achukue nafasi yake muda ukifika.
Anadiriki hata kuwatukana waalimu wake wa sheria kwamba wamezeeka na ujinga wao! Kama yeye amefundishwa na hao aliowaita wajinga wakiwa vijana unadhani yeye ni mjinga kiasi gani,atakuwa ni mjinga kuliko walimu wake. Lakini anatanguliza maslahi binafsi.
 
Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?
amefafanua mwanasheria wizara ya uchukuzi Mohamed Salum ameweka protocol nzima :

UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Fidia kwa maeneo ya wananchi na wawekezaji wazawa itakayochukuliwa na mradi wa DP World ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea

More :

Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono

TOKA MAKTABA Mwaliko

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5
Fax No. +255 026 2322624
E-mail: cna@bunge.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA.

Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Miundombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania la Mwaka 2023(Intergovernmental Agreement – IGA , between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Ports in Tanzania).

Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing) utafanyika siku ya Jumanne tarehe 06, Juni saa 7:30 mchana katika Ukumbi wa Msekwa ‘D’, Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Kamati inawaalika watu wote wenye maoni kuhusu Azimio hilo kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine.

Vilevile Kamati itapokea maoni kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:-

Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge,
10 Barabara ya Morogoro
S.L.P. 941,
40490 Tambukareli
DODOMA.
Baruapepe: cna@bunge.go.tz na kamati@bunge.go.tz

Azimio hilo linaweza pia kupakuliwa katika tovuti ya Bunge,
www.bunge.go.tz. Aidha, unashauriwa kuwasilisha jina lako kupitia barua pepe tajwa endapo utapenda kuwasilisha maoni yako kwa kuzungumza kwa ajili ya
hatua za kiutawala.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa,
Ofisi ya Bunge,
S.L.P 941,
DODOMA.

JE KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CABINET MEETING WAJUMBE WAKE NI NANI ?

KUTOKA MAKTABA: 3 Feb 2011
Ili kuongeza ufahamu kuhusu kikao cha baraza la mawaziri kina nani na nani hujumuika humo kuunda kikao cha cabinet

Mheshimiwa Rais Kikwete aongoza Kikao cha Baraza La Mawaziri Leo

1689945117385.png
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this afternoon.Others in the picture are the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal(second right), The Prime Minister Mizengo Pinda(third left), Chief Secretary,Philemon Luhanjo(third right), and Attorney General Judge Frederick
 
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?

Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na nchi, TISS, police, jeshi wanhusishwa kweli? hivi ni vyombo vya ulinzi na bila shaka ushauri wao kwenye maeneo nyeti ni muhimu.

Na je kama Rais amefanya kinyume na matarajio ya nchi, nani anamwambia hapana au ndio. nauliza hivyo kwa sababu kama bunge letu lenye mawaziri na wasomi wa kila aina wamesema Rais yupo sahihi nani tena wa kumkosoa?

Makatibu wakuu wa sector wanahusishwa kuhusu mikataba hii?
Manguli wa mikataba wanakuja kukujibu ni hawa wafuatao... HIMARS, GUSSIE, choiceVariable, Faizafoxy, covax and co.
 
Kuongoza wapumbavu Ni kazi sana

Watu ambao huzani kumpa mwekezaji wa kigeni mradi aendeshe Ni kuuza.
jibu nilichoandika ndugu yangu. hatupingi kuwapa wageni kuwekeza. hoja ni je unawapaje? mpangaji wako ndio akuandalie mkataba halafui unausaini hata bila kuusoma.
 
Mikataba huandaliwa na wataalamu na kisha kupelekwa kwa makatibu wakuu hupitia ambapo Mwenyekiti wao ni Katibu Mkuu Kiongozi then inapelekwa kwenye baraza la Mawaziri, kimsingi mtu yoyote anatakiwa kusoma kabla ya kusaini lakini shida viongozi wengi ni wavivu huwa hawasomi chochote.
Kwa mkataba kama wa DP sidhani kama katibu mkuu alihusika . waliandaa tu huko uarabuni wakauleta wakausaini
 
Nianze na Bunge :
Bunge la Tanzania ni Bunge la chama kimoja yaani asilimia 99 ni ccm.na Kwa

Nianze na Bunge:
Bunge la Tanzania asilimia 99 ni wabunge wa ccm. Rais ni mwenyekiti wa chama, anamamlaka katika serikali kumuondoa yeyote anaepinga Yale anavyotaka yawe, na ndani ya chama anayo mamalaka hayo ama kuzuia jina lisipite wakati chaguzi zitakapofika hivyo SI ajabu wabunge wote kuunga mkono Yale ya Rais hata kama wanaona hayako sawa.
Baraza la mawaziri:
Vivyo hivyo mwenyekiti ni yeye,hivyo waziri yeyote ambaye atapinga Yale anavyotaka Rais yawe huyo uwaziri wake upo mashakani.
Wakuu wa jeshi,polisi, Tiss ,na vyombo vingine nao wanateuliwa na Rais na hawahitajiki kuthibitishwa na Bunge. Hivyo hawana uthubutu wa kumshauri Rais tofauti na vile atakavyo. Unakumbula boss wa Tiss aliondolewa muda mfupi kabla ya issue ya bandari kutoka! Na mwingine pale Ikulu akabadirishwa, huwa iko hivyo. Hawako huru hata kama wanaona boss wao hayupo sawa. Unaona ccm wote wanasema mkatabani mzuri,hata wale wasio na uelewa juuya mambo ya uwekezaji na mikataba. Hiyo yote ni hofu yakuonekana " hatufai" kumbuka ndugai aliposema kweli aliambiwa hatufai akatakaiwa ajiuzuru. Atupishe.
Huyu mnyakyusa wa pale mjengoni siyo kwamba hajui hasara ambayo kama Taifa tunaenda kuipata kutokana na mkataba huu. Anajua vizuri tu lakini hataki yamkute ya ndugai, anachoangalia yeye ni maslahi yake labda mama atapendekeza achukue nafasi yake muda ukifika.
Anadiriki hata kuwatukana waalimu wake wa sheria kwamba wamezeeka na ujinga wao! Kama yeye amefundishwa na hao aliowaita wajinga wakiwa vijana unadhani yeye ni mjinga kiasi gani,atakuwa ni mjinga kuliko walimu wake. Lakini anatanguliza maslahi binafsi.
Taifa la ajabu haijapata kutokea.
 
jibu nilichoandika ndugu yangu. hatupingi kuwapa wageni kuwekeza. hoja ni je unawapaje? mpangaji wako ndio akuandalie mkataba halafui unausaini hata bila kuusoma.
Kwaiyo na wewe unaamini kabisa serikali haijasoma mkataba
 
Back
Top Bottom