Watu wa PSU huyo Bodyguard wa Kike wa Mama apunguze Unene na kuwa na Sura ya Kukasirika mno


Nakuangalia tu.
 
Wakukome mkuu!
 
Huna akili. Wahi kwa daktari wa akili kabla hujaanza kuokota makopo. Bipolar inakusumbua
 
Wewe unahoji unene wa BG wa rais Vs utendaji wake?tuwe na mipaka aisee,Huyo mtu anaangaliwa PSU nzima.
 
Kuhusu kupunguza unene ni sshihi kabisa.

Kuhusu sura ya kukasirika ni ngumu kwa sababu ni sehemu ya mafunzo yao. Usalama lazima uoneshe msuli kwenye paji la uso, hakuna kucheka cheka😄🙃

Sijui watabadilika lini
 
hahahah popoma (aka mtume wao mwamposa) Anajihami [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…