Dear Kenyans, tunahitaji ufafanuzi
Kinacchoendelea kwa sasa Kenya naona kwenye TV na Mitandaoni mkoa ya Coast ikiongozwa na Mombasa hawataki miraa na muguka kuuzwa maeneo yao.
The same substances are used all over the country, kwanini ume affect sana coast?
Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicted?