Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Bia zenu serengeti sasa zinaradha ya sukari sana halafu unapiga hata tatu hakuna stimu unamaliza hela tu.Lakini zamani ukipiga tatu angalau.Lakini serengeti hizohizo mikoa mingine zipo poa.Mkiendelea kuleta kanya boya tutafanya kampeni ya kuwaharibia tena nasisitiza toeni bia zenu zenye ladha ya sukari sokoni.