watu wa sheria nisaidieni kuhusu hili

mps

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
406
Reaction score
584
ni kwamba nilimwekea ndugu yangu mdhamana kwa kesi ya madai ya sh 500,000/= kisha jamaa kaingia mitini na kesi ipo mahakama ya mwanzo kuongea na jamaa (mlalamikaji) yeye yupo tayari nimlipe nusu ya pesa kisha nimtafutie nyingine sasa vp nianzie wapi nakumalizia wapi ili isiwe kama vile nampa jamaa zawadi badala ya kumaliza kesi na lengo lango niondokane na hiyo kesi ili nifanye mambo yangu maana mda wa kumtafuta jamaa sina na kufuta mdhamana ni sh milioni moja naombeni ushauli wa kisheria wadau ni ipi njia rahisi nitumie kumaliza HIYO SO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…