ndo ivyo mkuu..maombi kwa sana tu..afu kuhusiana na Malipo Ya hostel kuna special account Yake tofouti na ile Ya chuo..so unapoenda kulipa ile pesa ya chuo angalia usije uka include na pesa Ya hostel..
ni hivi, unareport chuo unamaliza reg. unapewa id card ndo unaenda suasab wanakupa card yenye room no ndo unaenda nayo benk kulipia hostel, so hostel ni ya mwusho kabisa kulipia na bila id hupewi room
mkuu RadioActive binafsi sina hakika...ila ya hostel,registration fee,kitambulisho nadhani ndo tunalipa...ila kama hujapata loan(nikimaanisha 100%) kuna kiasi unalipia!!! kwani ulizolipia ni zip????
kuna link ilikua na hizo accounts na fees ila nimejarib cheki kwenye web yao sijaona hiyo akaunt....kama unayo idondoshe mkuu!!!!co lazma mpaka chuo mi nimeongea na jamaaa angu ni m1 kati ya mawazir pale chuo anasema unaeza lipa kwa kupitia ac ya acomodation ambayo wametoa kwenye join instruction ili kuepuka usumbufu then unaenda na payin slip mpango mzima ndo unakuwa ivo!
Dah,wakuu yaani masela zangu wahapa kitaa ambao wako sua wote washaenda chuoni coz wamesup,sasa me najiuliza mbona A-level walikuwafit iweje chuo wanasup au wamelegeza msuli,bt wao wakaniambia kwamba nitajionea mwenyewe,xo wakuu nackia msuli wapale ni kirambac
kuna link ilikua na hizo accounts na fees ila nimejarib cheki kwenye web yao sijaona hiyo akaunt....kama unayo idondoshe mkuu!!!!
Direct cost ni,1.students union fee tsh.5000, 2.examination costs tsh.25,000 3.library cost tsh.40,000 4.caution money tsh.20,000 5.registration tsh.3,000 6.medical fee tsh.100,000 7.identity card tsh 5,000.ACCOMODATION FEE FOR ROOM IN UNIVERSITY HOSTEL IS TSH.78,000 PER SEMESTER PAYABLE THRU SUA CRDA ACC NO.01J1076769835.However, students are advised to contact SUA STUDENTS ACCOMMODATION BUREAU (SUASAB) Be4 paying to avoid inconveniences that may arise as a result of not being allocated a room in a university hostel.Please contact the SUASAB office through the following address suasab@suanet.ac.tz before embarking on paying accomodation fees.