Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mimi nashida na jila la huo wimboShetani ameanza kazi kitambo mnoo tangu kabla hata hujafikiriwa kuzaliwa,, vita na Muumba huko mbinguni Hadi kuhasi na kulaaniwa na kutupwa kwenye sayari ya dunia ma na bado anakupelekesha atakavyo,,unatutisha na juzi tuu hapo mwaka 1975?Acha usumbufu dogo
Sawa,jina la huo wimbo kiukweli Mimi Siujui.Sawa mimi nashida na jila la huo wimbo
Tumia Shazam
SawaSawa,jina la huo wimbo kiukweli Mimi Siujui.
Shazam yenyewe umeshindwa kuutambuaTumia Shazam
Mwimbaji Victoria Elyson kama.sikosei
Ngoja nijaribuMwimbaji Victoria Elyson kama.sikosei
PoaNimeka-play nimeona kana vibe, ngoja na mimi nikatafute.!!
Sawa
Ni wenyewe mbona
PoaWimbo unaitwa dandii, bendi ni Victoria eleyson ikiwa chini ya king kester emeneya