"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Hivi rais wa Zanzibar na makamu wa Rais wa Tanzania, ki mamlaka nani yupo juu ya mwezake ?

Kuhusu kumrithi Magufuli , nafikiri hata sasa anastahili kuchukua nafasi ya Magufuli baada ya miaka yake mitano kufika mwisho
 
Hivi rais wa Zanzibar na makamu wa Rais wa Tanzania, ki mamlaka nani yupo juu ya mwezake ?

Kuhusu kumrithi Magufuli , nafikiri hata sasa anastahili kuchukua nafasi ya Magufuli baada ya miaka yake mitano kufika mwisho
Ndani ya Muungano, Tanzania ni nchi mbili za Bara na Visiwani, zina marais 2, wa Tanzania na wa Zanzibar, Mamlaka 5 kuu ni Rais, VP, PM, Rais wa Zanzibar na M-2 wa Rais wa Zanzibar. Kwenye set up hii, Rais wa Zanzibar ni mkubwa kuliko VP.

Kwenye set up ya JMT, rais wa Zanzibar is nothing, nobody, ila ili asiwe insignificant, huwa anateuliwa kuwa Waziri asiye na Wizara maalum ili aingie vikao vya cabinet, lakini toka enzi za Commandoo, rais wa Zanzibar amekuwa ana kacha vikao hivyo!.

Nje ya muungano, Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, Zanzibar doesn't exist na rais Zanzibar ni nobody!.
P
 
Jibu ni yes, Zanzibar inaweza kuomba misaada na mikopo kutoka mabenki na mashirika ya Kimataifa kwa mambo ambayo sio muungano, kama ilivyofafanuliwa hapa
Afya sio issue ya muungano, hivyo Zanzibar mko huru kuomba hizo Fedha za WB na IMF na Serikali ya JMT itawatilia saini fasta
P
 
huyu huyu aliyesema "askari wake wakipiga risasi 3 na kukukosa anawajibishwa? kwamba Lissu alipigwa risasi na nani?
 

..nadhani leo Mindi utakuwa umenielewa nilichokuwa nikimaanisha hapa.

..nilisema huyu mama siyo muungwana kama mnavyofikiria.

..Mama Samia hakutakiwa kumtolea maneno ya kashfa TL, ukizingatia kwamba alimtembelea hospitalini Nairobi, na kumuona jinsi alivyokuwa akiteseka.
 
Heshima mbele mkuu. Nimekusoma
 
Duuh!
 
Licha ya kujipendekeza Sana kwa jiwe, still JIWE kaondoka kakuacha mikono mitupu.

Kwa MAANA nyingine kakamilisha ule msemo wake alokwambia kua
"mayala maana yake Ni njaa"

Kwa Sasa utulie kabisaa, Njaa alokuachia ikunyooshe vema.

usimbughuzi kabisa uyu mama etu na visifa vyako vya kinafiq[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayala maana yake ni njaa sio?[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkisikia neno "Kauli Huumba", tujifunze kuukubali ukweli huu kuwa kuna baadhi ya kauli zina powers na uwezo wa kuumba.

RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…