Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao ,lakini tunapaswa Kutambua kwamba watu Waadilifu wakiingia katika Siasa tutapata viongozi ambao watakuwa wazalendo na wenye uchungu na ichi yao hii itafanya Taifa liendee vizuri. Mimi nawaomba Jamii forum muandae mchakato wa kuwatambua watu ambao ni Waadilifu Ili muweze Kuwahimiza waingie katika Siasa . Asante
Upvote
4