Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Hakuwahi kuwa mchawi labda kama kuna maana nyingine ya uchawi nayoijuaMwanamalundi
Alivyowakausha watu kuwa kuni hakuathiri maisha yao?Hakuwahi kuwa mchawi labda kama kuna maana nyingine ya uchawi nayoijua
Uchawi ni matumizi ya nguvu au maarifa yasiyoelezeka kisayansi, yanayodaiwa kuathiri maisha ya watu kwa njia ya kiroho au kimazingara
Umemsahau yesu kristo wa Nazareth, na mtume Mohammed Swalla Lehi waalemsalam. Haona nao ni wachawi kichizi.. Na wanawafuasi wao mpaka leo.
๐ฎ 1. Merlin โ mchawi maarufu wa Ulaya
Merlin ni mmoja wa wachawi maarufu zaidi katika fasihi ya Ulaya, hasa katika hadithi za King Arthur.
Anasimuliwa kuwa:
- Alikuwa mshauri wa King Arthur.
- Alikuwa na uwezo wa kuona mambo yajayo.
- Alitumia uchawi na maarifa ya ajabu kumsaidia Arthur.
- Hadithi nyingine zinamhusisha na kuanzishwa kwa utawala wa Arthur.
- Inasemekana alikuwa na uwezo wa kubadilisha sura na kutumia nguvu za asili.
๐งโโ๏ธ 2. Aleister Crowley โ mtu halisi aliyedai kufanya uchawi
Huyu alikuwa mtu halisi aliyeishi 1875โ1947, na ni mmoja wa watu maarufu zaidi katika historia ya occultism.
Alifanya:
- Uchunguzi wa ceremonial magic.
- Tafiti za Kabbalah, Tarot na mifumo mbalimbali ya esoteric.
- Sherehe za occult alizoziita magical rituals.
- Aliandika vitabu vingi kuhusu uchawi na falsafa ya occult.
- Alianzisha mfumo wa kiroho uitwao Thelema.
Alikuwa na sifa kubwa sana kiasi kwamba magazeti ya wakati wake yalimpa jina la โthe wickedest man in the world.โ
Lakini madai kwamba alikuwa na nguvu zisizo za kawaida hayajathibitishwa.
๐ 3. King Solomon โ katika mapokeo ya uchawi
Mfalme Suleiman anahusishwa katika baadhi ya mapokeo ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislamu na hekima isiyo ya kawaida na uwezo juu ya majini.
Katika simulizi za baadaye za occult, kitabu kinachoitwa The Lesser Key of Solomon kinahusishwa naye. Humo kuna madai kuhusu:
- Majini/demons.
- Mihuri ya kichawi.
- Majina ya viumbe wa kiroho.
- Talismans na maagizo ya rituals.
๐งช 4. John Dee
John Dee (1527โ1608/09) alikuwa mwanahisabati, mwanaastronomia na mshauri wa .
Alijulikana pia kwa:
- Astrology.
- Alchemy.
- Uchunguzi wa mawasiliano na malaika.
- Mfumo aliouita Enochian magic.
Huyu jamaa nasikia alikuwepo kweli hivi story zake ni za kweli..?Mwanamalundi
Afadhali hakuna kobaz hata mmoja
Mpira umerudi kwenu wagalatia
Badala ya kuleta stori za kusadikika,Makobaz wanafuga majini. Nasikia kiongozi alimlawiti ibilisi akamsilimisha๐๐๐๐
Badala ya kuleta stori za kusadikika,
Meza hii ya huyu padri wa kizungu enzi za ukoloni, wazee wetu walikuwa mbele ya muda kutoruhusu watoto wao kwenda hizo shule
Nina uhakika babu au baba au mjomba wako aliwahi kupapaswa na huyu padri wakati wa nyerere
View attachment 3651627
Hebu ngoja wajeMakobaz wanafuga majini. Nasikia kiongozi alimlawiti ibilisi akamsilimisha๐๐๐๐
Ndo maana now DayZ kibao kimewageukia full vilio. Mnaisoma namba na uongozi wa juu kuupata mpaka yesu arudi.Hauna jipya...yale yale...mara tunaonewa. Mara kuna mfumo kristu. M
Kila siku kuleta maneno maneno ya watu wasio na akili na watu wa fungu la kukosa.
Dunia haitakaa kusimama. Na ukweli utabaki hivyo hata kama mnaongea kiasi gani.
This time usiende kuiba viatu wenzako wakiwa ibada
Ndo maana now DayZ kibao kimewageukia full vilio. Mnaisoma namba na uongozi wa juu kuupata mpaka yesu arudi.
Bado hujasemaHauna jipya...yale yale...mara tunaonewa. Mara kuna mfumo kristu. M
Kila siku kuleta maneno maneno ya watu wasio na akili na watu wa fungu la kukosa.
Dunia haitakaa kusimama. Na ukweli utabaki hivyo hata kama mnaongea kiasi gani.
This time usiende kuiba viatu wenzako wakiwa ibada