Watu wafupi na kodi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Alianza Zakayo sasa ni Messi.
Jamani sitaki Hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa, kuna ajenda.
Mwakifuna wa Mbeya miaka ya 80 nae pia tunamjumuisha hapa.
Usilete kashfa, tuijadili hoja.
 
Nimeilazimisha akili yangu kuelewa huu uzi, na baada ya kuelewa nimejikuta naachia boonge la cheko aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alianza Zakayo sasa ni Messi.
Jamani sitaki Hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa, kuna ajenda.
Mwakifuna wa Mbeya miaka ya 80 nae pia tunamjumuisha hapa.
Usilete kashfa, tuijadili hoja.
Mod naomba Uzi usihamishwe jukwaa.
Mkuu.....
Jiandae kwa mashambulizi toka mrengo wa kijani aiseeee [emoji13] [emoji13]
 
Najitahidi kuuelewa Uzi lakini bado nashindwa, ngoja nisubiri kwanza!
 
zakayo mtoza kodi.
messi nae matatizo ni yale yale ya kodi.
wote wafupi hahahaaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…