Tupe picha ya hao washangaajiMama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.
Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi
View attachment 609379
Ila kiukweli kuna mijanaume mingine kama si mishoga basi ina tabia ya kishoga...Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.
Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi
View attachment 609379
vitu vingine sio vya kuchukiaHuyo kashapewa majibu yake naona.
Yeah ningeenda tu kumuona mubashara halafu naendelea na shughuli zangu kwa maana kila siku namuona kwenye mitandao [emoji102]We ungekuwepo dar ungeenda mkuu?