Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Hahahaha dah... haya bhana...

Kwahiyo ungeenda kumwangalia kama ambavyo ungeenda kumwangalia mama Maria mama wa Yesu?
Aaah inategemea mkuu..namaanisha ningekuwa karibu mkuu ningeenda tu kusafisha macho kidogo na kugeuza muda huohuo nikishamuona... Siwezi nikaacha ishu zangu za maana nikapoteza muda mrefu huko
 
Ila kiukweli kuna mijanaume mingine kama si mishoga basi ina tabia ya kishoga...

Badala upambane na hali ya wanao na mkeo unaenda kushangaa mchepuko wa fuska...

Mamamamamamae sana walahi

Sorry Sky Eclat
Ongeza na hiyo mingine miwili iliyoshiba eti na walinzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…