Hao wananchi wako pembeni wanasubiri tu CDM wakawasaidie kuidai katiba mpya! Wao wanataka katiba mpya lakini hawathubutu kuidai, bali wameona ni wajibu wa CDM. Basi CDM wamechoka, kwakuwa na wao wanaitaka na CDM hawajawazuia kuidai, basi wajitokeze waidai.