Hii ishu ya R.Kelly imenifikirisha sana yaani kumbe Kuna makosa aliyafanya 1994 yanekuja kuwekwa wazi na kuonekana kuwa ni makosa kipindi hiki.
Sawali; Kwanini mashitaka hayo ya 1994 hakufunguliwa miaka hiyo hiyo?
Aisee nafikiri huyu jamaa kipindi hicho alikua chini ya mamlaka Fulani iliyokuwa ikimlinda kwa sababu alikua chini yao,baada ya yeye kutaka ndo hiyo mamlaka ikaweka mpango mkakati wa kumchafua ikiwezekana kumpoteza kabisa.
Ukweli Ni kwamba wasanii wengi wa marekani na duniani kwa ujumla walio chini ya mamlaka Fulani wakitaka kujitoa lazima watengenezewe skendo ili wapotee kabisa. eg..Michael Jackson,DMX n.k
Mamlaka Fulani( namaanisha Freemason,illuminat na mamlaka mengine za kishetani.