ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1. Rafiki zangu bodaboda wawili wameibiwa pikipiki, unajua huku Kusini msimu wa ufuta watu si wanakuwa na hela hivyo zinawapagawisha inabidi pikipiki ziwe mchongo kila siku zinaibiwa. Nikiwaona wale bodaboda walivyokuwa wa pole duh hadi huruma. Jana Tena imeibiwa sokoni waizi wameenea. Mwizi anarudiSha sana nyuma watu wamewachoka watakufa si hawataki kuacha hio tabia wanawauzia vitu watu waliopata hela za msimu. Pikipiki inasajaliwa Tena upya.
2. Wazee,me sijui how they feel but kumuona mzee wa miaka zaidi ya 90 huwa kunaniumiza sana yaani unahisi kabisa mtu hana tumain ana dead muda wowote japo kifo kipo muda wowote kwa kila mtu.
3. Wafungwa, Jamaa yangu fulani nilimkuta an gwanda za jela anamwagilia matofali. Sikupata nafasi ya kumuulizia kosa alilofanya ila mshikaji namjua tokea shule ni kijana mwenye nidhamu sana ya hali ya juu na hakuwa jeuri hata kidogo Tena alifanya vizuri darasani mtu ambaye hajawahi kugombana hata siku moja na mwanafunzi yoyote Bali alipendwa na kila mtu. Pole sana bryton.
4. Kuna mama rafiki yangu tu maana mwanaye pia anaitwa John sasa mwanaye alipelekwa shule ya gharama sijui ni chuo kile ila akaacha tu ghafla aisee Mpaka mama kakonda Kawa mtu mwenye hasira hata mimi ananizingua Balaa yaani hana furaha kisa hiko tu kila siku anazungumzia ishu ya mwanaye kuacha shule.
5. Staff wangu wa kike umri miaka 38 na hana mtoto wala mume yaani na anatafuta sana mixer kila siku waganga wa kienyeji duh inasikitisha sana ukimkuta muda mwingi anaongea peke yake watu Wana vitu sana mioyoni.