Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki bali kuna kujiteuwa.
watu hawa walio tuwekea utaratibu huu wanapaswa kuchunguzwa kwa undani zaidi na hata kushtakiwa hii sio sawa wala demokrasia kwa mgombea kuunda tume ni uhuni umetumika hapa.
watu hawa walio tuwekea utaratibu huu wanapaswa kuchunguzwa kwa undani zaidi na hata kushtakiwa hii sio sawa wala demokrasia kwa mgombea kuunda tume ni uhuni umetumika hapa.