Watu walisema mkaon Bony Mwaitege anatrend na wimbo wa kampeni " nina imani na Mwigulu" . Kwanini leo?

Watu walisema mkaon Bony Mwaitege anatrend na wimbo wa kampeni " nina imani na Mwigulu" . Kwanini leo?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Bony Mwaitege ni mwombaji wa nyimbo za injili lakini ni rafiki wa karibu sana wa Mwigulu Nchemba. Katika kipindi hiki Cha mawimbi makali yanayomwelemea Mwigulu kuna mzunguko wa wimbo unaosema "Tuna imani nawe Mwigulu". Haya siyo makaosa au bahati mbaya kusikia kibao hiki leo, ni ishara kwamba Rais wa kwenye mawe anatembea na agenda yake yakujenga imaya ya kugombea Tena Urais.

Lakini wimbo Kama huu kipindi Cha JPM ulikuwa uwezi kuusikia, leo unaunasika kwa sababu confidence ya Waziri wa fedha inampa upofu wakujua wapo wakubwa zake na Sasa siyo muda wa kampeni. Aidha siyo huo wimbo tu bali mtaani wan ccm wamegawanyika na kutengeneza makundi ya Urais na kwao agenda siyo wananchi Tena ni urais.

Kwa walio karibu na mama wamwambie nyumba inapigwa kiberiti na zimamoto hawana maji, ajitahidi kutembea na fire extinguisher mapema na amwage madumu yote ya petrol yaliyowekwa ndani na wapangaji wake. Asiona aibu kuvunja mkataba na mpangaji mkahidi na asione aibu kusajili wapangaji wapya maana asipofanya imma nyumba itageuka kichwa Cha mwenda wazimu au danguro.
 
Back
Top Bottom