Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni $2M tu!Watu wanapga $50M akaona na yeye msimtanie.kakimbilia
Kwa kifupi ni kwamba afisa huyo inaonekana hizo pesa tajwa yeye ni moja kati ya maaskari wa polisi wanaoshukiwa kuziiba. Pesa hizo zilitokana na michango waliyokuwa wakichangishwa askari poli kiasi cha shilingi 5,000/=kwa kila polisi kila mwezi (hakuna maelezo ya ni kwanini walikuwa wanachangishwa pesa hizo kwenye gazeti hilo)Weka maelezo yaliyoshiba kapiga wapi hizo pesa na kapigaje?
Hapo umesomeka kiongozi, kiufupi jamaa kaitumia fursa vizuri honhera kwake kwa uzalendo.Kwa kifupi ni kwamba afisa huyo inaonekana hizo pesa tajwa yeye ni moja kati ya maaskari wa polisi wanaoshukiwa kuziiba. Pesa hizo zilitokana na michango waliyokuwa wakichangishwa askari poli kiasi cha shilingi 5,000/=kwa kila polisi kila mwezi (hakuna maelezo ya ni kwanini walikuwa wanachangishwa pesa hizo kwenye gazeti hilo)
Maelezo mengine ni kwamba polisi huyo inaaminika amekimbilia SA baada ya kusikia ripoti ya kichele kuhusu upotevu wa pesa hizo wakati akitoa taarifa kama mkaguzi mkuu wa serikali siku ya jumatano.
Gazeti pia limeandika jamaa alipata taarifa hizo wakati akiwa chuo cha polisi moshi akisomea au akichukua mafunzo ya polisi kwa cheo cha ASP ambapo huchukua miezi sita. Mpaka hapo nadhaninkidogo nmeeleweka mkuu!!! Japo gazeti lenyewe ni kingereza
Kwa huyo was achane nae tunataka wale was $49MHizo ni $2M tu!
Watamuokota kama ndege mkuu..kijana kajikataa zake Kwa kaburu, pale huwa hakuna serikali $mili 2 hizo na wale police wa SA unaishi tu kama uko heaven ni kuzipanga karata zako vizuri tu
Alafu huyu alikuwa anapiga rambi ramvi za wenzake TU.On the run ni kuhama nchi?