ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Maisha na seleka zake lo!!
kuna siku nilimkuta jamaa kajiinamia nikampa hai vipi kaka aiseee nilikula matusi ambayo sikuwahi kuyasikia mpaka nkawa nacheka eti pua kama ki$imi cha punda ππ
staki ukorofi mkuuππ usiku huu staki fujo na watuπView attachment 2980812
Mkuu, hivyo ndivyo pua lako lilivyo.