Watu wana google* "Ntafanyaje nisipelekwe Dodoma*" Halisio rafiki tena

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Baadhinyanwafanyakaz wa wizara ya shekeli wameelekea dodoma kutambua mahali watakapo hamia shuhuli imeanza

Kuonyesha hali sio rafiki baadhi ya watu wameanza kugoogle *"*ntafanyaje nisipelekwe dodoma*"" kazi ipo
 
Usiogope Dodoma ni pazuri na huu ni mpango wa mafanikio.
 
hahahaha ko wa nataka Google nde iwape majibu ..hahahahaha kaazi kwelii kwelii
 
Duh! Labda keyboard au simu ya mtoa mada ina matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…