Watu Wana Madharau!

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Watu wengine bwana wana madharau sana. Haswa wakipata tu. Huwezi kuamini leo nampigia simu Obama Eti hapokei...! Na juzi tu hapa kabla ya uchaguzi alikuwa anani'beep ili nimpigie...! Kweli aliye pata m4t4ko ulia mbwata...!

Hii ni mssg nilipata juzi usiku kwa simu yangu, Nilipoanza kuisoma nilishtuka kidogo. Ila nilipoendelea kuisoma ndipo nikaelewa.
 
Fisadi ni wewe x-paster (unaye pasterize wanadamu) bin Osama.

Haya mambo yameanzaje anzaje lakini, mbona naona uvamizi wa ghalfa... kulikoni...? Au ndo ushapata mssg na wewe...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…