Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba.
Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph.
Mashabiki wamemuwashia moto hatari.
Hapo issue yake ya App ya Pannel ambayo ni App ya Wallpapers unayosubscribe kwa $50 kwa mwaka au $12 kwa mwezi watu wamembwatukia amejaribu kuwapooza ila wapi.
Pia still ana scandals za kununuliwa na Apple
Na bado alivyoimpromote Cybertruck kutoka Tesla badala ya kutoa honest review watu wanazidi kuona anapoteza credibility.
Mambo ni mengi, ila ni mmoja kati ya YouTuber niliokua nawafuatilia sana kabl sijafanya maamuzi ya kununua used smartphone, ila ndio ivyo tena.
Mr Beast ana matatizo yake, MKBHD nae anayo yake.
You either die a hero or you live long enough to become the villain.