Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Kuishi kwa historia ni kushindwa kiakili na kufell manzima.
Watu wanoafanya mambo makubwa hawaangalii story za familia yao.
Unaniletea story za wazazi wako eti walikuwa matajiri zamani leo hii wewe kapuku mkubwa haina maana yeyote.
Pambana sasa hivi watu waone unavyojitahidi.
Hat ukifika unasahulika upesi.
Watu siku hizi tunatizama mambo mapya.