Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Labda alizaliwa mkubwa hivi hivi.Ungeanza na hao wanaojiita mabingwa wa kihistoria kabla ya kuleta Uzi wako
Hata hiyo luzaz ya jana tu ishakuwa history tyrKuishi kwa historia ni kushindwa kiakili na kufell manzima.
Watu wanoafanya mambo makubwa hawaangalii story za familia yao.
Unaniletea story za wazazi wako eti walikuwa matajiri zamani leo hii wewe kapuku mkubwa haina maana yeyote.
Pambana sasa hivi watu waone unavyojitahidi.
Hat ukifika unasahulika upesi.
Watu siku hizi tunatizama mambo mapya.
Msikilize huyuHata hiyo luzaz ya jana tu ishakuwa history tyr
Kwa mimoshi na mishumaa ile ubongo umechanganyikana na damuu haswaaaBall Boys wa kiarabu wamekuvuruga haswaa!