cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado wanakipenda hiki chama kutoka ndani ya mioyo yao.
Tofauti na CCM inalazimisha watu waipende kwa kutumia nguvu zote, kuanzia jeshi la polisi na vyombo vyote vya Serikali lakini bado watu hawaitaki, labda kilichobaki waendelee na ule mtindo wao wa kuiba kura.
Nimeamini ukiona mtu yuko ndani ya CCM jua yupo kwa ajili ya maslai yake binafsi bali siyo kwa upendo
Huu ndiyo ukweli sawa na kumlazimisha mwanamke akupende sababu unampa pesa, lakini anaye anayempenda kutoka ndani ya moyo wake bila kujali anampa nini