We komah hiyo shikamoo si umpe shangazi yako..!! ๐น๐นWale wa Juice ya tende juice ya tende kuna uzi Marry Diana anashusha vitu karibuni sana ๐
Lamomy shikamoo ๐
Hawa wa hivi unawapataga wapi tumuunganishie na rafiki yetu Intelligent businessman?Marry naomba alfu tano dear...
View attachment 3601866
Kakutumia wapi na PM umepiga komeo halafu punguza kutufanya sisi watoto wewe muandiko wako mboni unafanana na haszu ?Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya,
Wamatengo mna jeuri toka ndugu yenu akalie kiti cha no 2 ๐นBinti,watu wanaingiza pesa wakiwa wamelala. Weka PM namba yako inayo pokea muamala ili tukuprove wrong...naamini utaacha kudharau watu
Wacha tumuoneshe makali ๐Wamatengo mna jeuri toka ndugu yenu akalie kiti cha no 2 ๐น
Unataka kumuokotesha Marry mwenyewe..!!
Min wewe sema umemuelewa marry ila hakupi attention ๐น๐น๐นWanao muita merry Diana ni mwanaume ni wapumbavu , huyu ni mwanamke mpumbavu mpumbavu tu wa uswazi ๐ฎ
Mungu nifundishe kunyamazaHawa wa hivi unawapataga wapi tumuunganishie na rafiki yetu Intelligent businessman?
Wamatengo washika nchi watarajiwa, tutawakoma jukwaani mkichukua kipenga rasmi..!! ๐นWacha tumuoneshe makali ๐
DuuuhMarry Diana wa tabata kinyerezi
Wanyooshe dada๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sijui nacheka nini
Hahaha marry ni binadamu ila sifikiri kama ana ushawishi kwangu lamo๐๐Min wewe sema umemuelewa marry ila hakupi attention ๐น๐น๐น
Marry mbona mtu pouwa yuko real ha-fake life..!!
Siichukiii , ila naifananisha na ya labella the mafia huko x.๐น๐น๐น Hii sasa ndio imekaa kiugomvi nakupokea km ulivyokuja..!!
Ko ukilewa direct unaanza kuchukia Iโd yangu ya MAFIA ๐น
Aah! Bwashee unatugeuka wanao ๐คฃMerry ni rafiki yangu , akitaka tunamaliza tofauti zetu๐คฃ
Wewe unapenda wakufake life na blah blah nyingi..!! ๐น๐น๐นHahaha marry ni binadamu ila sifikiri kama ana ushawishi kwangu lamo๐๐
Bwashee mimi sina uadui wa kudumu๐Aah! Bwashee unatugeuka wanao ๐คฃ
๐น๐น Ile ya kistaarabu si unaona nacheka na kila mtu tofauti na hii ya mikazo classic ๐๐Siichukiii , ila naifananisha na ya labella the mafia huko x.
Kwanini unasema hivyo lamo?Wewe unapenda wakufake life na blah blah nyingi..!! ๐น๐น๐น