Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

Bora nisingekutibua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Haya niamkie kaka yako Marry Diana aone dada una adabu ๐Ÿ˜„
 
Naona kama una chapia hivi ?

{{ kwan kuna mtandao ambao wafuasi wake wote wana kazi maalum ? }}

kwani wanao ifungiaga jf ni kina nan ? siyo watu wa serikali ?. Kwamba nao hawana kaz ?.

WAPO WASIO NA KAZ RASM NA WENYE KAZ PIA WAPO HUO MTAZAMO WAKO HAUNA USAHIHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ