Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Na kalaga baho Nongwa
Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya".
Huko ukikaa vibaya nchale, ukilala nchale, ukichimama nchale, ukichutama nchale, ukiamua kukimbia nchale. Kila shida unayoijua wewe huko ni ngoma ngumu. Ukiizungunzia elimu hola, biashara nongwa, ajira ng'anya, maendelo hakuna ,la maana nehinehi
Huko unakuta kila anaeumwa karongwa, mtu akifa kinatibuka kivumbi watu wanasoma albadiri. Shirki na tuhuma za uchawi ni kila siku, familia hazisapotiani na hata anaesoma anarudishwa nyuma kwq nguvu ya aina yoyote ile. Huko mzazi akifa hata kama kaacha mali za milion mia 7 miaka mitatu mbele hakuna mali hata moja na vijana wanaunga unga vilevile. Ukizungumzia ajira huko balaa, kusoma shida hata exposure ya kibashra hakuna. Watu wanakomalia urithi wapate hela za chapchap. Wakati wenzao wakifa wanasifiwa kwa waliyoyaacha, wao wanaacha kivumbi huku watu wanataka urithi wengine wanataka kusoma albadiri Marehem alirogwa
Unafikiria nn katika hili?
Kalaga baho